<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><lyrics>[V1]
 Deni yangu ya dhambi,
 Yesu amelipa.
 Kwake msalabani
 Nilipewa uzima.

[V2]
 Deni ya dhambi,
 Msalabani,
 Ilimalizikia,
 Ni huru kabisa.

[V3]
 Bwana Yesu asema,
 'Mwanangu dhaifu,
 Uwezo wa ushindi
 Hupatikana kwangu.'

[V4]
 Bwana, kweli naona,
 Nguvu zako pekee
 Huondoa ukoma,
 Niwe kipya kiumbe.

[V5]
 Sina wema moyoni,
 Nidai neema,
 Nakubali kabisa,
 Kwa damu kusafiwa.

[V6]
 Hata huko Mbinguni
 Miguuni pake,
 'Yesu alinifia,'
 Nitaimba milele.</lyrics>
<title>Deni Ya Dhambi Ilimalizika TZR87</title>
<hymn_number>87</hymn_number>
</song>